TUNA INFANTINO, MOTSEPE,KWA MKAPA, TUWAPE UJUMBE SAHIHI

SIMBA wanashiriki michuano ya African Football League ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Afrika. Simba ndio timu pekee kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki ambao wanakuwa wawakilishi katika ukanda huo. Si jambo dogo, tunapaswa kujivunia sana kwa kuwa majirani zetu kama Kenya, Uganda, Rwanda na wengine wangetamani sana kufikia hapo tulipo….

Read More

SIMBA YAITISHA AL AHY

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mhezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…

Read More

PACOME ATUMA SALAMU SIMBA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesema hatabweteka na mabao matatu aliyoyafunga katika Ligi Kuu Bara msimu huu, huku akipanga kuendelea na mwendelezo mzuri wa kufunga kwenye michezo ijayo. Kauli hiyo huenda ikawa salamu kwa mshambuliaji wa Simba Mkongomani, Jean Baleke ambaye ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara akifunga…

Read More

MASTAA WAPIGWA MKWARA YANGA

INATAJWA kuwa mastaa wote waliopo kikosi cha Yanga ikiwa  ni pamoja na nyota watano ndani ya kikosi cha Yanga wameambiwa wanapaswa kuonyesha uwezo wao kwenye mechi zao zijazo ili kuendelea kupata namba katika kikosi hicho. Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi imecheza mechi tano za Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tatu na pointi…

Read More