YANGA NEEMA YATAWALA, NIC YAWEKA MKWANJA MREFU
UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 9,2023 umeingia makubaliano na Kampuni ya Bima, NIC kwa ajili ya kudhamini tuzo za mchezaji bora wa mwezi. Hayo ni makubaliano ya muda wa miaka mitatu ambapo ni milioni 900 zitapatikana kwa muda wa miaka mitatu. Akizungumza kuhusu hilo Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amesema…