GEITA GOLD WAPOTEZA MBELE YA YANGA
GEITA Gold wamepishana na pointi tatu kwa mara nyingine kwenye mchezo wa pili mfululizo baada ya kupoteza mbele ya Yanga. Mchezo uliopita Geita Gold ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Nyankumbu ukisoma Geita Gold 1-2 KMC. Baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa leo Oktoba 7 ubao wa Uwanja wa Kirumba umesoma Geita Gold 0-3 Yanga….