Kombe la Dunia ni kombe lenye thamani kubwa zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, ukiachilia mbali mashindano mengine ya dunia kama vile michezo ya Tenisi ambapo bingwa anapewa USD 76.5m, sawa Tsh Bil 191.2
Baada ya FIFA kuweka wazi kwamba Kombe la Dunia mwaka 2030 litafanyika katika mabara 3, Ulaya, Amerika ya Kusini kwa mechi baadhi za ufunguzi na Afrika nchini Morocco.
Hispania mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2010 wataungana na Ureno na Morocco kuandaa michuano hiyo, lakini Meridianbet wanatoa machaguo mengi kwa mechi za kombe dunia.
Leo nataka nikufahamishe ni pesa kiasi gani timu zinazocheza michuano hiyo huvuta, ikiwemo bingwa kama ambavyo Argentina alifanya hivyo mwaka 2022 huko Qatar. Vuta mkwanja mrefu ukibeti na Meridianbet au kucheza kasino mtandaoni na michezo ya sloti.
Mgawanyo wa Pesa WC kwa mujibu wa Sporting News 2022.
Timu zote zilizoshiriki fainali za kombe la dunia nchini Qatar zilipata kiasi cha pesa Bil 5.7 za Kitanzania. hivyo thamani halisi ya kombe huongezeka mwaka hadi mwaka.
MAKUNDI:
Timu zote zilizotinga hatua ya makundi na zingine kuishia hapo kwenye kombe la dunia zilipata kiasi cha pesa TSH BILIONI 18.4
HATUA 16 BORA:
Timu zote zilizotinga hatua ya 16 ya kombe la dunia na zingine kuishia hapo, zilipata kiasi cha pesa TSH BILIONI 27.6
ROBO FAINALI:
Timu zote zilizotinga hatua ya ROBO FAINALI na timu 4 zitakazoishia hapo zilipata kiasi cha pesa TSH BILIONI 36.8
MSHINDI WA 4:
Timu zote zilizotinga na kuwa mshindi wa NNE atapata kiasi cha pesa TSH BILIONI 50.6
MSHINDI WA 3:
Mshindi wa TATU wa fainali za kombe la dunia kwa mwaka 2022 alipata kiasi cha TSH BILIONI 59.8
MSHINDI WA 2
Mshindi wa PILI wa fainali za kombe la dunia Qatar alipata kiasi cha pesa TSH BILIONI 73.6
BINGWA WA WC
BINGWA wa kombe la dunia anapata kiasi cha pesa TSH BILIONI 103.5
Zawadi hizi ni za tawkimu za Kombe la Dunia mwaka 2022 elewa kwamba thamani ya pesa huongezeka na kushuka, huenda mshindi wa kombe la dunia 2026 na 2030 ambayo tutaishuhudia tena barani Afrika baada ya miaka 20 kupita, atapata mpunga mrefu zaidi ya huu aliovuna Argentina.
Unaweza kuvuta pesa ndefu kama tu utaichagua Meridianbet kuwa sehemu yako ya kubashiri, kucheza kasino mtandaoni na michezo ya sloti.
NB: Meridianbet ina Jackpoti kubwa ya Tsh 200m timu 13 kwa dau dogo la Tsh 1,000/= yaani BUKU tu! ni maalum kwa wateja wa mtandaoni na wanaobashiri na kitochi bila bando *149*10# Kucheza Jackpoti Bonyeza hapa.