UBAO wa Uwanja wa Highland Estate katika dakika 45 za mwanzo umekuwa ni sawa kwa timu zote mbil.
Ni Ihefu 1-1 Yanga wababe hawa wakiwa kwenye msako wa pointi tatu.
Lenny Kisu amefunga bao la kwanza dhidi ya Yanga dakika ya 40 kwa msimu wa 2023/24 kwa kuwa ilikuwa bado haijafungwa.
Ni Pacome Zouzoua kapachika bao la Kwanza dakika ya tatu.