IHEFU WAITUNGUA YANGA, LAKINI LAZIMA WABADILIKE
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Highland Estate ubao umesoma Ihefu 2-1 Yanga baada ya dakika 90. Ni mabao ya Lenny Kissu dakika ya 40 na lile la ushindi likifungwa na Charles Ilanfya dakika ya 67. Bao la Yanga limefungwa na Pacome Zouzoua dakika ya 3 ikiwa ni bao la mapema Uwanja…