VIDEO:TAZAMA UFUNDI WA PENALTI, KIPA KAMA SALIM WA SIMBA

TAZAMA ufundi wa mapigo ya penalti kwenye mchezo wa TRA V Muhimbili kipa kama Ally Salim wa Simba ambaye aliizuia michomo mitatu ya mastaa wa Yanga.

Salim kwenye mchezo wa fainali Ngao ya Jamii aliibuka shujaa Tanga kwa kuokoa penalti tatu alipokuwa langoni dhidi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.