HII HAPA REKODI YA SIMBA MPYA
SIMBA mapema tu ilikamilisha lengo la kuandika rekodi mpya ikiwapoteza watani zao wa jadi Yanga katika tamasha lao. Simba ilikuwa ni Agosti 6 2023 iliandika rekodi hiyo kwenye tamasha la Simba Day ikiwa ni tamasha lililokusanya mashabiki wengi nje na ndani ya uwanja. Kutokana na jambo hilo Simba inayonolewa na Kocha Muu, Roberto Oliveira ilikamilisha…