VIINGILIO VYA SIMBA DAY HIVI HAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa siku ya Simba Day ni sikukuu hivyo hawapangi viingilio vikubwa kuwakomoa mashabiki wao. Agosti 6 ni Simba Day ikiwa ni siku ya utambulisho kwa wachezaji pamoja na benchi jipya la ufundi pamoja na lile lililokuwa na timu msimu wa 2022/23. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…