KIBEGI CHA SIMBA KISIUZWE, KIPELEKWE MAKUMBUSHO
KIBEGI cha Simba kimefunguliwa juu ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni uzinduzi wa jezi mpya kwa msimu wa 2023/24 ilikuwa Julai 21 2023. Tumeona namna ambavyo kila mmoja alikuwa akifuatilia kwa namna yake popote alipokuwa kwa kuwa ilikuwa ni habari inayofurahisha. Utalii wa Tanzania umetengazwa kitaifa na kimataifa wengi wameona na kuendelea kufuatilia zaidi kuhusu mlima…