KOCHA YANGA ATAMBULISHWA NAMUNGO
CEDRICK Kaze aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga kwa sasa atakuwa Kocha Mkuu Namungo FC. Kaze alipewa mkono wa asante ndani ya Yanga baada ya msimu wa 2022/23 kugota mwisho. Sasa anaibukia ndani ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Bara hivyo atakuwa na nafasi ya kukutana na waajiri wake wa zamani Yanga kwenye mechi za ushindani….