MTU TATU NDANI YA SIMBA, KULA CHUMA
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi. Ni leo Julai 20 watatu wametangazwa kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Ni kiungo Idd Chilunda ambaye alikuwa ndani ya Azam FC lakini hakuongezewa mkataba wake kwa sasa…