MASHINE NNE ZA SIMBA KUIBUKIA UTURUKI

CLATOUS Chama kiungo wa Simba anatarajiwa kuibukia Uturuki kuungana na wachezaji wenzake baada ya kukamilisha mazungumzo na timu hiyo. Chama kinara wa pasi za mwisho msimu wa 2022/23 akiwa ametoa 14 alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga. Hakuwa kwenye msafara wa awali uliokwea pipa kuibukia Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24…

Read More

MORRISON, BANGALA WATAJWA SINGIDA FOUNTAIN GATE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kuwa wanatamani kuwa na kiungo Mkongomani Yannick Bangala na Mghana Bernard Morrison kwa ajili ya msimu ujao huku ukipanga kuweka wazi kila kitu hivi karibuni. Wachezaji hao wanahusishwa kutua Singida Fountain Gate kwa ajili ya msimu ujao ambao wanacheza Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga tayari imetangaza kuachana na Morrison…

Read More

ISHU YA CHAMA KUIBUKIA YANGA BOSI AFUNGUKA

WAKATI Clatous Chama akiwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga, Simba wameweka wazi kuwa hawana tatizo ikiwa watapata ofa nzuri kutoka kwa watani zao hao wa jadi. Ikumbukwe kuwa, Chama ambaye ni mali ya Simba, ni kinara kwenye kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 alipotengeneza pasi 14,…

Read More

ONYANGO KUANDALIWA UTAMBULISHO MAALUMU

UONGOZI wa Singida Fountian Gate umeweka wazi kuwa unaandaa utambulisho rasmi kwa nyota wao wote wapya ikiwa ni pamoja na Joash Onyango. Timu hiyo imeanza maandalizi kuelekea msimu wa 2023/24 na inatarajia kuweka kambi Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Miongoni mwa wachezaji ambao wamesajiliwa na Singida Fountain Gate ni pamoja na Yahya…

Read More

SABABU ZA KOCHA MPYA KMC ZATAJWA

UONGOZI wa KMC umebainisha kuwa ujana ni moja ya sababu zilizompa kazi Abdi Hamid Moallini ambaye ametambulishwa kuwa kocha mpya wa KMC rasmi Julai 12 2023. Mstahiki Meya ya Kinondoni, Songoro Mnyonge Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya KMC amesema kuwa miongoni mwa vigezo vilivyowafanya wakamchagua kocha huyo ni pamoja na ujana. KMC ni mashuhuda…

Read More