ISHU ZA KISHIRIKINA ZISIPEWE NAFASI
TUKIWA tunaelekea kuanza msimu mpya wa mashindano imegeuka hali ya mazoea hivi sasa kwenye Ligi Kuu Bara na ligi za madaraja ya chini kila baada ya mizunguko kadhaa tumeshuhudia baadhi ya timu zikilimwa faini mbalimbali kutokana na vitendo vya kishirikina. Hali hii imegeuzwa mazoea na hii ni kutokana na adhabu ambazo zinatolewa huenda haziziathiri timu…