
YANGA KUKIWASHA WIKI YA WANANCHI NA KAIZER CHIEFS
RASMI kwenye wiki ya Mwananchi Klabu ya Yanga itakuwa na kazi Uwanja wa Mkapa Julai 22 2023 kuwapa burudani mashabiki wa timu hiyo. Ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs,Yanga itacheza ukiwa ni mwanzo wa kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Wiki hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya…