YANGA YATAMBULISHA JEMBE JIPYA

RASMI Julai 11 2023 Yanga imemtambulisha nyota mpya Gift Fred kutoka SC Villa ya Uganda kuwa mali yao. Nyota huyo tayari aliwaaga mashabiki na viongozi wa timu yake ya zamani kwa kuwaambia Thank You hivyo anakuja Bongo kwenye changamoto mpya. Yote haya ni maboresho ndani ya Yanga kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24 na…

Read More

SIMBA HAO NDANI YA UTURUKI

MSAFARA wa Simba unaonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo Julai 11 umeanza safari kueleka Uturuki. Ni maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24 unaotarajiwa kuanza Agosti ambapo kwa msimu wa 2022/23 walipishana na ubingwa uliokwenda Yanga. Simba ina kazi ya kuanza kwenye hatua ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate…

Read More

MWAMBA KASEKE BADO YUPO NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE

NYOTA Deus Kaseke ni miongoni mwa wale watakaokuwa kwenye kikosi cha Singida Fountain Gate kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo kambi yake itakuwa Arusha baada ya mpango wa kuelekea Tunisia kusitishwa. Kaseke ni Legend ndani ya timu hiyo kutokana na uwezo wake kwenye eneo la kiungo na aliibuka hapo akitokea Yanga. Mchezo…

Read More

AZAM FC NDANI TUNISIA

KIKOSI cha Azam FC kimewasili jijini Sousse, Tunisia kwa kambi ya wiki tatu ya maandalizi ya msimu mpya 2023/24. Miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye msafara huo ni pamoja na Feisal Salum, Ayoub Lyanda, Idris Mbombo. Timu hiyo ilipitia Dubai kabla ya kuibukia Tunisia kwa maandalizi ya msimu mpya. Mchezo wa kwanza kwa Azam FC…

Read More

UMAKINI HAUKWEPI MUDA WA MAVUNO

MAVUNO yanaongeza tabasamu hasa kila kitu kinapokwenda sawa ila inapokuwa tofauti hakuna ambaye anapata furaha katika hilo. Wahusika ni wote kuanzia mabingwa wa ligi ambao ni Yanga nao wana jukumu la kuongeza umakini kwenye usajili pamoja na maandalizi ya msimu ujao. Singida Fountain Gate nao inawahusu bila kuwasahau Namungo mpaka Geita Gold. Maisha mapya ndani…

Read More

CHUMA KINGINE CHA KAZI NDANI YA SIMBA

KUTOKA Mtibwa Sugar inayotumia Uwanja wa Manungu kwa mechi za nyumbani amerejea ndani ya kikosi cha Simba beki wa kupanda na kushuka. Beki huyo ni shuhuda Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Mchezo wa kwanza kwa Simba utakuwa wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate…

Read More