SportPesa YAIPA YANGA 405 MILIONI
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya SportPesa Tarimba Abbas amesema kuwa wanajivunia kuidhamini Klabu ya Yanga kwa kuwa imeitendea haki nembo yao na kufaya vizuri kwa msimu wa 2022/23. Yanga imetwaa mataji matatu Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC, Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Azam FC. Julai 10…