IKIWA ni usajili wa kwanza kutambulishwa kwa mashabiki wa Simba Willy Onana aliyetangazwa Jumanne, Dr shabiki wa Simb amebainisha kuwa ni moja ya wachezaji wazuri.
Dr amezungumzia pia kuhusu watani zao wa jadi Yanga ambao nao wana hesabu za kufanya usajili mkubwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23