NYASA BIG BULLETS YATOSHANA NGUVU NA YANGA
KWENYE mchezo maalumu wa kutimiza miaka 59 ya Uhuru wa Malawi timu zote mbili zimetoshana nguvu kwa kutofungana. Ubao umesoma Nyasa Big Bullets 0-0 Yanga ambapo Yanga walitumia asilimia kubwa wachezaji wa timu ya vijana. Kwenye mchezo wa leo kiungo Dennis Nkane alipata maumivu yalipolekea ashindwe kuendelea na mchezo huo lakini hali yake kwa sasa…