
MAPENDEKEZO BENCHI LA UFUNDI YAFUATWE KUEPUKA LAWAMA
HEKAHEKA za usajili kuelekea msimu mpya wa mashindano kwenye Ligi Kuu Bara zimeanza baada ya msimu wa mashindano wa 2022/23 kumalizika. Ipo wazi kuwa Yanga wamefanikiwa kubeba kila kombe kwenye mashindano ya ndani kuanzia Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na lile taji la Kombe la Shirikisho la Azam. Timu zote iwe zile zinazoshiriki Ligi…