YANGA HAO MALAWI KUSEPA NA NDEGE MAALUMU
ALLY Kamwe Ofisa Habari wa Yanga amesema wamepata mualiko maalumu kutoka Malawi jambo ambalo ni heshima na wanalichukua kwa mikono miwili. Kamwe ameweka wazi kuwa watacheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi Julai 6, 2023 ikiwa ni mualiko maalumu kutoka Malawi hivyo Yanga watakuwepo huko. Kamwe amesema:”Ni heshima kubwa sana…