VIDEO:AZAM FC KUSHUSHA MAJEMBE WENGINE WAWILI

AZAM FC kushusha majembe wengine wawili wa kazi kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Wafungukia ishu ya Feisal Salum kiungo wa kwanza kusajiliwa akitokea kikosi cha Yanga. Feisal ni kiungo anayevaa jezi namba sita kutoka Yanga na sasa atakuwa akipata changamoto mpya ndani ya Azam FC katika ligi kuu bara

Read More

MWAMBA ANAYETAJWA YANGA KUIBUKIA JKT TANZANIA

INAELEZWA kuwa Hassan Nassoro kiungo mshambuliaji wa Mbeya City yupo kwenye rada za JKT Tanzania kwa ajili ya kuinsa saini yake. Rasta huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabingwa wa ligi Yanga ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Mbali na Yanga pia Singida Big Stars nao walikuwa wanatajwa kuiwinda saini ya mwamba huyo kwa ajili…

Read More

KIVUMBI NA JASHO LEO FAINALI U 20

KIVUMBI kinatarajiwa kutimka leo Julai 2 kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Vijana U 20 kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Geita Gold. Mtibwa Sugar walifanikiwa kuingia fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Mtibwa Sugar 2-1 Azam FC huku Geita Gold wao ubao ulisoma Kagera Sugar 0-2 Geita Gold. Kocha…

Read More

KAZI YA USAJILI IFANYIKE KWA UMAKINI MKUBWA

TAYARI kazi ipo wazi kwa sasa kutokana na dirisha la usajili kufunguliwa Julai Mosi na Agosti 31 dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa. Kuanzia Championship, Ligi ya Wanawake, First League mpaka NBC League tayari wana taarifa kwamba dirisha la usajili lipo wazi. Sio Yanga, Singida Big Stars ambayo kwa sasa ni Singida Fountain Gate FC ni…

Read More

SIMBA YAPITA NA SAWADOGO MAZIMA

ISMAILI Sawadogo hatakuwa miongoni mwa nyota watakaokuwa katika kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili kuachana. Nyota huyo ni shuhuda watani zao wa jadi Yanga wakitwaa ubingwa huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Kiungo huyo hakuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kutokana na kutokuwa fiti…

Read More

JEMBE LA KAZI BADO LIPO AZAM FC

MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC bado utaendelea kuwepo hapo baada ya kuongeza kandarasi ya mwaka mmoja. Ni Idris Mbombo ambaye ana uwezo wa kufunga mabao akiwa nje ya 18 ama ndani ya 18 kwa wapinzani akiwa ndani ya uwanja. Ni shuhuda timu ya Azam FC ikigotea nafasi ya tatu huku Yanga wakitwaa ubingwa…

Read More