SportsVIDEO:JEMBE AFICHUA MKUDE KUSAJILIWA YANGA Saleh1 year ago01 mins JEMBE afichua suala la kiungo wa zamani wa Simba, Jonas Mkude kusajiliwa Yanga baada ya kuachana na Simba. Mkude ni Legend ambaye amedumu kwa muda ndani ya kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kinanolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira Post navigation Previous: NDOYE APEWA MKATABA AZAM FCNext: KIUNGO WA KAZI AMETUA AZAM FC