MKUDE AFUNGUKA BAADA YA KUACHWA
MARA baada ya kutangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya Simba kwa msimu ujao, aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude amefunguka kuwa anawashukuru Simba kwa sapoti waliyompa katika kipindi chote cha maisha yake na kuwatakia kila la kheri. Mkude alitangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa msimu ujao juzi Alhamisi baada ya kumaliza mkataba…