MBEYA CITY MAMBO MAGUMU NGOMA MPAKA CHAMPIONSHIP
LICHA ya mashabiki wa Mbeya City kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Sokoine mambo yamekuwa magumu kwa timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Mbeya City 0-1 Mashujaa kutoka Kigoma wakipeta kwa ushindi wa jumla ya mabao 1-4. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Kigoma ubao ulisoma Mashujaa 3-1 Mbeya…