>

KOCHA YANGA AWEKA UGUMU HUU

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi ulioanza mazungumzo ambao ulitarajiwa kukutana naye mapema. Mkataba wa Nabi na Kaze ulimalizika Jumatatu hii mara baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la FA kumalizika kwa Yanga kutwaa taji hilo kwa kuwafunga Azam FC bao…

Read More

KIUNGO HUYU WA KAZI MIKONONI MWA SIMBA

MILTON Karisa nyota mwenye miaka 27 anayekipiga ndani ya Vipers ya Uganda anatakiwa kuwa katika hesabu za Simba. Kiungo huyo amewahi kufanya kazi na Robert Oliviera ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ikiwa dili lake litajibu atakuwa miongoni mwa nyota watakaokutana na watani zao wa jadi Yanga kwenye mechi za ushindani. Yanga ni watani za…

Read More

DJUMA SHABAN, BANGALA ISHU YA KUSEPA YANGA IPO HIVI

DJUMA Shaban na Yannic Bangala wanatajwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga. Habari zinaeleza kuwa kuondoka kwa Nasreddine Nabi ndani ya Yanga kwenye benchi la ufundi kunawafanya mastaa wengine kufikiria kuondoka pia. Ipo wazi kuwa Bangala mkataba wake bado unaishi ndani ya Yanga kama ilivyo kwa Djuma mpaka 2024 lakini wanahitaji kuondoka. Djuma ameomba…

Read More

VIDEO:BOSI SIMBA AFICHUA KUHUSU USAJILI MPYA

WAKIWA ni mashuhuda wa ubingwa kuelekea kwa watani zao wa jadi Yanga Simba wameanza mpango kazi kwa ajili ya kuunda kikosi kipya kwa msimu wa 2023/24. Yanga ni mabingwa watetezi msimu ujao huku Simba wakiwa wamegotea nafasi ya pili. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tray Again’ amebainisha kuhusu mipango kazi ya timu hiyo.

Read More

UMAKINI NI MUHIMU KWA SASA

TUNAONA timu zimeanza kuwaacha wachezaj wale ambao walikwama kufanya vizuri ama mikataba yao imegota mwisho hilo ni jambo linalohitaji umakini. Sio wachezaji tu hata benchi la ufundi imekuwa hivyo kama ambavyo wamefanya Yanga, Azam FC na Simba. Mbali na Yanga na Simba tunaamini bado zingine zitafuata kwa kuwa mwanzo wa msimu ni mwanzo wa mipango…

Read More