VIDEO:YANGA:MAYELE ATAWAFUNGA WAARABU TENA

BAADA ya kupoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 1-2 USM Alger kwenye hatua ya kimataifa mashabiki wameweka wazi kuwa bado kuna dakika 90 za ugenini ambazo watapambana kupata ushindi.

Yanga inakwenda kupambana Juni 3,2023 huku wakiweka wazi kuwa Fiston Mayele anaweza kwenda kufunga mabao saba mpaka 9