Skip to content
- Home
- 2023
- May
- 27
- VIDEO:NYOTA YANGA AFUNGUKIA ISHU YA FAINALI KIMATAIFA
NYOTA Yanga afungukia ishu ya fainali kimataifa ni David Bryson amesema kuwa hawana hofu na wamejiaandaa kwa umakini kwa ajili ya mchezo huo.
Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya USM Alger kwenye hatua ya fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.