
YANGA HESABU KWENYE FAINALI KIMATAIFA
BAADA ya kukamilisha mchezo wao wa hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation msafara wa Yanga umerejea salama Dar wakianza hesabu kwenye mchezo wao wa kimataifa. Ni Mei 21 kikosi kilikuwa Uwanja wa Liti, Singida na ubao ulisoma Singida Big Stars 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Fiston Mayele ambaye aliingia…