SABABU YA RUVU SHOOTING KUSHUKA DARAJA HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Mbwana Makata amesema kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimefanya timu hiyo kushindwa kubaki ndani ya ligi ni pamoja na suala la usajili na ubora wa wachezaji. Mei 12 ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Simba na kuifanya iwe timu ya kwanza kushuka daraja, msimu ujao itashiriki Championship. Imegotea nafasi…