
KIPA SIMBA ASEPA NA MKWANJA
KIPA namba tatu wa Simba, Ally Salim amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Aprili, 2023. Kipa huyo amekuwa chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Simba kwenye mechi za hivi karibuni baada ya kipa namba moja Aishi Manula kupata maumivu. Salim alikaa langoni kwenye…