
KOCHA ONGALA KAWAZIDI SIMBA NJE NDANI
MBINU za Kali Ongala muda wote zimekuwa ngumu dhidi ya Simba wanapokutana ndani ya dakika 90. Ongala dhidi ya Yanga alikwama kusepa na pointi mzunguko wa pili ila ule mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Mbele ya Singida Big Stars ugenini walipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Ni bao moja Simba wamefanikiwa kuifunga…