KIKOSI cha Simba dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation:-
Ally Salim ameanza langoni
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Sadio Kanoute
Clatous Chama
Mzamiru Yassin
Jean Baleke
Ntibanzokiza
Kibu Dennis