WAKIWA ugenini wameshuhudia ubao ukisoma Nottm Forest 3-1 Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.
Ilikuwa dakika ya 45 alijifunga Pascal Grob, Danilo dakika ya 69 na Morgan Gibbs-White dakika ya 90.
Ni Facundo Buonanotte dakika ya 38 alipachika bao ndani ya City Ground.
Nottm Forest imecheza mechi 33 ikiwa na pointi 30 huku Brighton ikiwa nafasi ya 8 pointi 49.