AZAM FC YAIPIGA MKWARA SIMBA

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba. Taji hilo la Kombe la Azam Sports Federation mabingwa watetezi ni Yanga ambao nao wametinga hatua ya nusu fainali. Itacheza na Singida Big Stars Uwanja wa Liti na mshindi wa mchezo…

Read More

KAZI BADO IPO KWENYE LIGI, HAKUNA KUKATA TAMAA

KUKATA tamaa kwenye mechi za mzunguko wa pili kwa wachezaji wa timu ambazo zimekwama kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao iwe ni mwiko. Bado kuna kazi ya kufanya na kwenye mpira lolote linaweza kutokea kutokana na namna ambavyo timu zitajipanga kwa umakini licha ya kwamba Yanga inaongoza haina maana kwamba ligi imeshagota mwisho. Tunaona mzunguko…

Read More

YANGA HAWATAKI UTANI, KAZI IMEANZA MAPEMA

BAADA ya Yanga kukamilisha kete ya kwanza ugenini, wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamerejea Bongo. Kwenye mchezo huo uliochezwa nchini Nigeria baada ya dakika 90 ubao ulisoma Rivers United 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na Fiston Mayele. Tayari kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kimerejea…

Read More

SIMBA HESABU ZAO KWA WYDAD

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mohamed V, nchini Morocco baada ya robo fainali ya kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Wydad Casablanca. Ni Ijumaa ya…

Read More