CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA

MANCHESTER City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika ya 57. Ni Joshua Kimmich dakika ya 83 alipachika bao katika mchezo huo kwa pigo…

Read More

MAYELE, MUSONDA WAPEWA MAAGIZO MAALUM YANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema washambuliaji wake ikiwa ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda wanapaswa kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kibindoni wana pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, tofauti ya pointi tano na watani zao wa jadi Simba…

Read More

KUKATA UMEME MZAMIRU SAWA LAKINI AFYA MUHIMU

LICHA ya kazi kubwa ambayo aliifanya Mzamiru Yassin kwenye Kariakoo Dabi kuna faulo za hatari alizicheza mtindo wa nge kwa nyota Fiston Mayele. Hakika Mayele kuna wakati aliomba poo na alikasirika kwelikweli kutokana na kuchezewa faulo na kiungo Mzamiru. Ile iliyompa maumivu makubwa ilichezwa dakika ya 46 na Mzamiru wakati akiokoa hatari kuelekea kwenye lango…

Read More

AKILI ZA SIMBA NI KWA WAARABU WYDAD

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari amesema kuwa kwa sasa ambacho wanakifikiria ni ushindi dhidi ya Wydad  ambao ni hatua ya robo fainali. Tayari wapinzani hao wamewasili Tanzania Aprili 19 wakiwa kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao utachezwa Uwanja wa Mkapa, Jumamosi. “Hakuna jambo lingine lolote tunaweza kuwaza kwa sasa zaidi ya kumfunga…

Read More