LALA SALAMA NI MUHIMU KUIKAMILISHA KWA HESABU

HAIWEZI kuwa kazi nyepesi kwa kuwa lazima mapambano yawe makubwa katika kufanya hilo jambo ambalo unalihitaji kwa wakati. Kila mmoja kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa anapambana kuweza kufikia malengo ambayo alianza nayo mwanzo wa msimu wa 2022/23 ambao unakaribia kugota mwisho. Hakika ni moja ya msimu wenye ushindani mkubwa na kila timu inafanya vizuri…

Read More

KAGERA SUGAR KUREJEA WAKIWA IMARA

MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa waterejea kwenye mechi zilizobaki wakiwa imara kwa kupata matokeo chanya. Timu hiyo haina bahati dhidi ya Yanga msimu huu wa 2022/23 kwa kufungwa nje ndani mchezo wa kwanza ilitunguliwa bao 0-1 na ule mzunguko wa pili ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-0 Kagera…

Read More

NADO NI MKALI AKITOKEA BENCHI

NYOTA wa Azam FC, Idd Suleiman, ‘Nado’ ni mkali wa kucheka na nyavu kwenye mechi za ligi akitokea benchi. Nyota huyo rekodi zinaonyesha kuwa ameanza kikosi cha kwanza mechi nne ilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting,Dodoma Jiji,Mbeya City na KMC. Kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union,Novemba 27,2022 ubao wa Azam Complex uliposoma Azam FC 3-2 Coastal…

Read More

ALLY SALIM BADO SANA KUWA BORA

ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba mchezo wake wa kwanza akiwa langoni dhidi ya Yanga amefanikiwa kukamilisha dakika 90 bila kufungwa. Bado anajitafuta kutokana na makosa mengi ya kiufundi hasa kwenye kuokoa na kutema hapo ndipo panamfanya awe kwenye kazi ngumu ya kufanya. Ally amesababisha kona nne kwenye mchezo dhidi ya Yanga kutokana na…

Read More