MCHEZO wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa ni Kariakoo Dabi
Ubao unasoma Simba 2-0 Yanga, goal limepachikwa na Henock Inonga dakika ya kwanza na lile la pili Kibu Dennis kapachika dakika ya 33.
Mwamuzi wa kati ni Jonesia Rukya ambaye anafanya kazi ya kutafsri sheria 17 za mpira na mashabiki wamejitokeza kwa wingi.