YANGA vinara wa Ligi Kuu Bara leo Aprili 16 wana kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba ambao nao wanahitaji ushindi.
Djigui Diarra yupo langoni
Djuma Shaban
Joyce Lomalisa
Bakari Mwamnyeto
Job
Khalid Aucho
Jesus Moloko
Yannick Bangala
Mayele Fiston
Sure Boy
Kennedy Musonda