YANGA YASHUSHA 5 G

HUU ni ushindi mkubwa kwa Yanga kwa msimu wa 2022/23 dhidi ya Kagera Sugar wakisepa na pointi tatu mazima. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 5-0 Kagera Sugar baada ya dakika 90 kukamilika. Aziz KI kasepa na mpira wake kwa kuwa amefunga mabao matatu, mawili kwa penalti dakika ya 43 na 90 huku…

Read More

YANGA 2-0 KAGERA SUGAR

UBAO wa Azam Complex unasoma Yanga 2-0 Kagera Sugar ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Yanga wamepachika mabao hayo kupitia kwa kiungo mshambuliaji Aziz KI ambaye amekuwa kwenye ubora wake. Lile bao la kwanza ni dakika ya 43 baada ya Fiston Mayele kuchezewa faulo na llle la pili shuti akiwa nje ya 18 dakika…

Read More

ALLY NYOTA WA MCHEZAO, ULINZI TATIZO SIMBA

KWENYE mchezo dhidi ya Ihefu mchezaji bora kwa upande wa Simba alikuwa ni Ally Salim na hii inatokana na makosa ya safu ya ulinzi ya Simba yaliyokuwa yakifanywa kila dakika. Salim ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kayeyusha dakika 90 bila kutunguliwa akiokoa hatari ngumu ikiwa ni dakika ya 5,6,10,15 zote kutoka kwa washambuliaji wa…

Read More

USHINDI WA TSH MIL 26 WAMFANYA APAGAWE

Ilikuwa ni kama ndoto iliyootwa usiku na mara ghafla inageuka kweli, kutoka kulala maskini na kuamka Tajiri mwenye mamilioni ndani, hii sio hadithi ya soga ni simulizi ya kweli ya kijana aliyeweka mtaji wad au la Elfu 20 na kupata faida ya Tsh Mil 26. Utajiuliza ilikuaje yakawezekana ni biashara gani aliifanya ikampatia faida kubwa…

Read More