LIVERPOOL NGOMA NZITO KWA ARSENAL
WAKIWA ndani yà Anfield Liverpool wamekubali kugawana pointi mojamoja na Arsenal ikiwa ni ngoma nzito kwa timu zote kusepa na poiti tatu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-2 Arsenal huku kipindi cha kwanza kikiwa ni mali ya Arsenal na kile cha pili wenyeji walifanya kazi kubwa kusaka ushindi nakugotea kuongeza bao moja pekee….