NEWCASTLE YATINGA TATU BORA

NEWCASTLE United wanaingia tatu bora wakiwa na pointi 50 baada ya kushinda dhidi ya Manchester United.

Manchester wao wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 50 wote wamecheza mechi 27.

Kinara ni Arsenal ikiwa na pointi 72 wanawafuata Man City wakiwa na pointi 64 ila City wamecheza mechi 28.

Mabao ya Newcastle United yalifungwa na Joe Willock dakika ya 65 na Callum Wilson dakika ya 88.

Ngoma ilipigwa Uwanja wa St James Park