STARS YAPOTEZA KWA MKAPA

JITIHADA za timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kusaka ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Uganda zimegonga mwamba. Kwenye mchezo wa leo Machi 28,2023 uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao umesoma Tanzania 0-1 Uganda. Mchezo wa leo Stars ilikuwa kwenye umaliki mzuri huku nafasi chache zikitengenezwa kutoka kwa viungo pamoja…

Read More

MSAFARA WA SIMBA WAKWAMA KUWAFUATA RAJA

MSAFARA wa Simba ambao leo ulianza safari kueleke Morocco kupitia Qatar utaendelea na safari yake kesho Machi 29 2023 baada ya Ndege ambayo walianza nayo safari kupata hitilafu. Hivyo mpango wa kuendelea na safari leo kuelekea Morocco umekwama mpaka siku ya kesho mapema baada ya maboresho ya chombo hicho cha usafiri. Kwa mujibu wa Meneja…

Read More

AFCON 2023:TANZANIA 0-0 UGANDA

UWAJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast ngoma bado ni nzito kwa pande zote. Ubao unasoma Tanzania 0-0 Uganda ambapo kila timu inafanya mashambulizi kwa wapinzani kupata ushindi. Tanzania inamtumia Simon Msuva, Mbwana Samatta pamoja na Sopu kwenye upande wa ushambuliaji huku Uganda wakiwa na Emmanuel Okwi na Khalid Lwaliwa ambao…

Read More

SIMBA YAWAFUATA RAJA CASABLANCA

Kikosi cha Simba SC, kimeanza safari leo Machi 28 kuelekea nchini Morocco kuifuata Raja Casablanca kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa usiku wa kuamkia Aprili Mosi 2023 nchini Morocco. Msafara ambao unaondoka leo kupitia Qatar una jumla ya wachezaji 13 ikiwa ni pamoja na…

Read More

KOCHA YANGA OUT

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha mkuu wa Yanga Princess, Sebastian Nkoma. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya kocha Fredy Mbuna mpaka mwisho wa msimu. Kocha huyo aliibuka ndani ya kikosi hicho akitokea kuinoa Simba Queens…

Read More

UTARATIBU WA KUINGIA KWA MKAPA LEO HUU HAPA

CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema utaratibu wa kuingia kwa mashabiki Uwanja wa Mkapa utaanza saa sita kamili. Leo timu ya Taifa ya Tanzania ina kiarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Uganda ambao ni wa kuwania kufuzu Afcon. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Misri uba ulisoma Uganda 0-1…

Read More