UGANDA WAIPIGA MKWARA HUU TANZANIA
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Uganda, Emanuel Okwi ameweka wazi kuwa kesho watapambana kupata matokeo dhidi ya Tanzania. Uganda ipo Bongo ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stars kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast. Katika mchezo uliochezwa Misri, ubao ulisoma Uganda 0-1 Tanzania huku bao likifungwa na Simon Msuva….