March 20, 2023
JASHO LA HAKI KWA SIMBA NA HOROYA LILIVUJA NAMNA HII
JASHO la haki liliwavuja wachezaji wa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kusaka ushindi na mwisho wababe wakawa ni Simba. Ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 7-0 Horoya huku wawakilishi hao wakitinga hatua ya robo fainali ilikuwa ni Machi 18,2023 na kazi ilikuwa namna hii:- Aishi Manula Alipiga pasi ndefu dakika ya 2,27,38,41,64,65,73,79,80…
AZAM FC REKODI ZA NYOTA WAO ZINASOMA HIVI
KUNA vingi vya kujivunia kwenye ardhi ya Tanzania ikiwa ni pamoja na mlima Kilimanjaro kutokana na kuwa na kilele chenye ubora. Kwenye ulimwengu wa soka kuna maskani ya Azam FC yalipo maskani ya timu bora ambayo inapambana kuonyesha ubora kwa vitendo, hapa tupo nao kwenye mwendo wa data kutazama kazi zao namna hii:- Mechi nyingi…
VIDEO:YANGA HAWANA HOFU KIMATAIFA,KAZI INAENDELEA
YANGA hawana hofu kimataifa kazi inaendelea baada ya kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika
AZAM FC NA MWENDO WAO ULEULE
MSIMU huu pia haujawa mzuri kwa Azam FC ambayo kila wakati huwa inaanza kwa kuleta ushindani mkubwa. Mateso makubwa ambayo huwa wanapitia kwenye mechi za ugenini bado hawajapata majibu yake hivyo wana kazi ya kuboresha zaidi ili wakati ujao kuwa imara. Miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikiwapa ugumu Azam FC ni pamoja na kushindwa kutumia…
VIDEO:NABI AFICHUA SIRI KUWATUNGUA WAARABU
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amefichua siri ya kupata ushindi mchezo wa kimataifa dhidi ya US Monastir, Uwanja wa Mkapa
MWARABU KAFA NANI ANAFUATA? HUYU HAPA MPINZANI WA SIMBA
Mwarabu kafa Nani anafuata? Huyu hapa mpinzani wa Simba ndani ya Championi Jumatatu