KMC WAICHAPA KAGERA SUGAR
HATIMAYE leo Machi 9,2023 KMC imepata ushindi mbele ya Kagera Sugar na kusepa na pointi tatu mazima. KMC haikuwa kwenye mwendo mzuri kwenye mechi zake za hivi karibuni ambapo ilipotoka kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Yanga ikapoteza pia mbele ya Azam FC kwenye mechi za ligi ilizocheza Dar. Ni mabao ya Daruesh Saliboko dakika ya…