NYOTA Cheickna Diakite anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga,
Nyota huyo anakipiga ndani ya kikosi cha Real Bamako ambacho leo kitatupa kete yake dhidi ya Yanga.
Winga huyo ni moja ya wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho ambacho kina maskani yake Mali.
Ni miaka 18 anayo kijana huyo akiwa anakipiga ndani ya Real Bamako.