ARSENAL WASEPA NA POINTI TATU KIBABE
LICHA ya Bournermouth kuanza kwa kasi kuliandama lango la Arsenal na kupata mabao ya kuongoza kila kipindi. Bao la mapema lilifungwa dakika ya kwanza na Philip Billing na bao la pili lilifungwa na Marcus Senesi dakika ya 51. Mwisho ubao ulisoma Arsenal 3-2 Bournemouth ambapo ni mabao ya Thomes Partey dakika ya 62, Ben White…