SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE UHURU

MACHI 2 2023 kikosi cha Simba kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya African Sports. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru kwa kuwa Uwanja wa Mkapa unafanyiwa maboresha na utatumika kwa mechi za kimataifa. Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa inakumbuka kwamba ilitinga hatua hiyo kwa ushindi wa…

Read More

YANGA HAWA HAPA NDANI YA DAR, AHADI KAMA ZOTE

MSAFARA wa Yanga umewasili leo Dar ukitokea Mali ulipokuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao ni wa hatua ya makundi. Katika mchezo huo Yanga iligawana pointi mojamoja kwa ubao kusoma Real Bamako 1-1 Yanga baada ya dakika 90. Ni Fiston Mayele alipachika bao kwa upande wa Yanga kwenye mchezo huo…

Read More

MTIBWA SUGAR WANYOOSHWA UWANJA WA LITI

IKIWA Uwanja wa Liti, Singida kwa wakulima Alizeti Mtibwa Sugar iliacha pointi zote tatu mazima. Kwenye mchezo huo uliochezwa Februari 27,2023 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti ulisoma Singida Big Stars 2-0 Mtibwa Sugar Ni Rodrigo alianza kuwatungua Mtibwa Sugar wenye Duchu ilikuwa dakika ya 12 kisha mwamba kabisa Meddie Kagere huyu…

Read More

KMC WANAPITA KWENYE MATESO DAKIKA 630

CHINI ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kikosi cha KMC kimepita kwenye dakika 630 za mateso kwa kukwama kusepana pointi tatu zaidi ya katika mechi 7 mfululizo. Mechi moja pekee KMC iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi tano wakiambulia kichapo mazima. Kwenye msako wa pointi 21 ni…

Read More

BOSI MPYA SIMBA HUYU HAPA

KWA mara nyingine tena Salim Abdallah Muhene wengi wanapenda kumuita Try Again atasalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba. Februari 27, Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji amemteua tena Salim Try Again kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Mo amesema ana imani na Mwenyekiti Muhene kuwa ataiongoza Simba kufikia…

Read More

YANGA KUTUA DAR

MSAFARA wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Februari 28 unatarajiwa kuwasili Dar. Wawakilishi hao wa kimataifa kwenye anga la Kombe la Shirikisho walikuwa na mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Real Bamao uliochezwa Mali. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Real Bamako 1-1 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja kwenye…

Read More