
MECHI ZA NYUMBANI ANGA ZA KIMATAIFA HESABU MUHIMU
MECHI za nyumbani kwenye anga za kimataifa zina umuhimu mkubwa kwa wawakilishi kimataifa kupata ushindi kuzidi kujiongezea hali ya kupata nafasi kutoka kwenye hatua ambayo wapo. Hatua ya makundi ni kituo kinachowasafirisha wawakilishi mpaka hatua ya robo fainali ambayo inaongeza thamani kwa wachezaji pamoja na timu kuzidi kuwa bora. Ushindi kwenye mechi za nyumbani ni…